top of page

Maisha ya wokovu ni safari-safari ya mabadiliko, ushindi, majaribu, na ukuaji wa kiroho. Ni safari inayomtoa mwanadamu kutoka katika giza la dhambi hadi katika nuru ya Kristo, safari inayoanzia kwenye hatua ya kuitwa na Mungu, kupitia katika vikwazo na changamoto, hadi kufikia lengo kuu la uzima wa milele. Hili si jambo rahisi. Ni safari inayohitaji ufahamu wa kina, imani isiyotetereka, na nguvu za Mungu ili kuweza kushinda kila hali inayojitokeza njiani.
Kitabu hiki, Maswali na Majibu Katika Safari ya Wokovu, ni mwongozo kwa kila Mkristo anayetamani kuelewa kwa undani maana ya wokovu, mchakato wa kumfuata Kristo, na jinsi ya kushinda vikwazo vya kiroho. Ni mwaliko wa kuingia katika safari takatifu ya imani na utakatifu, ukijifunza kutoka kwa wale waliotutangulia-manabii, mitume, na mashahidi wa imani waliotembea na Mungu na kushinda.

Safari ya Wokovu - Maswali na Majibu ya

$9.99Price
Quantity
    bottom of page