top of page

Kila Nafsi Itaonja Mauti

1 day ago
1 min read

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akimfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan, wakati alipofika katika makazi yake, Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja. Hakika sisi ni waja wake na kwake tutarejea.

 
 
 

Comments


bottom of page