top of page

Makala za Mwanadikala


Tujifunze Toka kwa Wenzetu - Botswana na Namibia.
Kama umewahi kuishi Marekani au Ulaya bila shaka utakuwa unafahamu kwamba nchi hizo zina idadi ndogo sana ya wahamiaji toka Botswana na...
Oct 4, 2024
Â
Â


TUHUMA ZA UTEKAJI NYARA - JESHI LA POLISI LINAWEZA KUKWEPA LAWAMA?
Hivi karibuni, tuhuma za utekaji nyara na mauaji ya watu wasio na hatia zimekuwa kama jambo la kawaida. Kila unapofungua gazeti au...
Sep 7, 2024
Â
Â


NAFASI ZA UONGOZI ZIZINGATIE TAALUMA
Nianze kwa kuweka bayana kwamba naiheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayompa mhe. rais mamlaka ya kuteua viongozi na...
Aug 31, 2024
Â
Â


Watanzania Kubadilishwa Vinasaba?
Hivi karibuni kulizuka gumzo kubwa kuhusu usalama wa vyakula vinavyoingizwa nchini kutoka nje. Watanzania wengi kupitia vyombo vya habari...
Mar 18, 2024
Â
Â


Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Kumyima Usingizi Rais Samia Suluhu?
Hivi karibuni Baraza la maaskofu katoliki nchini Tanzania (TEC) lilitoa waraka maalum kuelezea kutoridhishwa kwake na makataba kati ya...
Aug 21, 2023
Â
Â


Serikali Ibuni Vyanzo Vipya Vya Mapato
Miaka michache iliyopita nilitembelea miji ya Spring, na Denver iliyoko katika jimbo la Colorado nchini Marekani. Nikiwa huko nilipata...
Jun 15, 2023
Â
Â


TANESCO Wakatwa Mishahara
Maelfu ya wafanyakazi wa shirika la usambazaji umeme nchini (TANESCO) wamejikuta wakibubujikwa machozi baada ya mishahara yao kupunguzwa...
Aug 22, 2022
Â
Â


Mabadiliko Ya Mfumo Wa Elimu Nchini - Tumemuiga Nani?
Mabadiliko ni kitu cha kawaida, na tena cha lazima katika maisha. Yamkini pasipo mabadiliko hakuna mtu, jamii, wala nchi yoyote inayoweza...
Jun 20, 2022
Â
Â


Huisha Uwezo wa Kufikiri Kwako
Akili ni uwezo wa mtu kuelewa na kupambanua mambo, au kwa kifupi ufahamu. Akili humsaidia mwanadamu kujielewa yeye mwenyewe, wenzake, na...
Dec 17, 2021
Â
Â


Ongeza Marafiki Siyo Maadui
Uongozi si lele mama! ni kazi kubwa inayohitaji hekima, busara, weledi, na uvumilivu wa hali ya juu. Unapokuwa kiongozi unalazimika...
Feb 20, 2021
Â
Â


Tunamficha Nani? Kwanini? Na Kwa Faida Gani?
Nimeugua Covid 19, nikatibiwa na kupona (Jina la Bwana lihimidiwe). Kuugua kwangu kumenisaidia kujifunza mengi, na kubaini uongo mwingi...
Feb 11, 2021
Â
Â
bottom of page


