top of page

Makala za Mwanadikala


Viongozi Wetu - Rejeeni Kwenye Dhana ya Dhahabu.
Katika Injili ya Mathayo 7:12, Yesu anasema, "Basi, yote myatakayo watu wawatendee ninyi, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hii ndiyo...
Oct 4, 2024
0


Kusimama na Kuanguka kwa 4R na Mustakabali wa Siasa za Tanzania
Tanzania ni nchi yenye historia ya kipekee ya kisiasa barani Afrika, hasa kutokana na juhudi za Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere,...
Oct 3, 2024
0


Adhabu ya Kifo au Kifungo cha Maisha: Je Zinaweza Kupunguza Tatizo la Ubakaji na Ulawiti Tanzania?
Tatizo la ubakaji na ulawiti limekuwa janga kubwa kwa jamii ya Tanzania, huku wahanga wakibaki na majeraha ya kimwili na kisaikolojia kwa...
Oct 1, 2024
0


Edward Sokoine - Wengi Hawamjui na Wale Wanaomjua Wanamsifia tu, Lakini Hawataki Kuvaa Viatu Vyake. Kwanini?
Edward Moringe Sokoine, alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia mwaka 1980 hadi kifo chake cha ghafla , kwa ajali ya gari mwaka 1984....
Oct 1, 2024
0


Vijana wa Zamani - Napoleon na Alexander the Great, na Mchango wa Vijana wa Leo Katika Taifa Letu
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini mhe. Godbless Lema akizungumza kwenye Space ya Maria Sarungi. Hotuba yake, ndefu...
Sep 28, 2024
0


Chanzo cha Matatizo ya Kiuchumi, Kisiasa, na Kijamii Tanzania: Na Hatua Zinazopaswa Kuchukuliwa Kubadilisha Hali.
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, kisiasa, na kijamii. Matatizo haya...
Sep 28, 2024
0


Hali ya Siasa Tanzania na Changamoto za Mfumo wa Vyama Vingi
Tanzania iliingia rasmi kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992, hatua ambayo ilitarajiwa kuimarisha demokrasia na kutoa fursa...
Sep 18, 2024
0


Uchambuzi Kuhusu Malumbano Kati ya Serikali na CHADEMA Kuhusu Utekaji Nyara Nchini
Matukio ya utekaji nyara nchini Tanzania yamekuwa chanzo kingine cha mvutano wa kisiasa kati ya serikali na chama cha upinzani, CHADEMA....
Sep 17, 2024
0


HATUA ZA KUCHUKUA KUPUNGUZA UWEZEKANO WA KUTEKWA NYARA
Utekaji nyara unazidi kuwa tatizo kubwa nchini. Matukio ya watu kutekwa nyara na kuuawa yameongezeka kuliko kwa kiasi cha kutisha. Watu...
Sep 15, 2024
0


Ongezeko la Utekaji Nyara: Wito kwa Serikali Kuchukua Hatua
Katika miezi ya hivi karibuni, nchi yetu imekumbwa na ongezeko la kutisha la utekaji nyara, ambapo raia wasio na hatia, hususan viongozi...
Sep 15, 2024
0


TUHUMA ZA UTEKAJI NYARA - JESHI LA POLISI LINAWEZA KUKWEPA LAWAMA?
Hivi karibuni, tuhuma za utekaji nyara na mauaji ya watu wasio na hatia zimekuwa kama jambo la kawaida. Kila unapofungua gazeti au...
Sep 7, 2024
0


NAFASI ZA UONGOZI ZIZINGATIE TAALUMA
Nianze kwa kuweka bayana kwamba naiheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayompa mhe. rais mamlaka ya kuteua viongozi na...
Aug 31, 2024
0


Suleiman Mombo Atadumu Nafasi ya DGIS?
Anaitwa Suleiman Abubakar Mombo, mzaliwa wa Tabora, lakini majasusi wenzie, hususan wanaomjua vyema kule mjengoni humwita “Mzee wa...
Aug 8, 2024
0


Jul 28, 2024
0


Kila Mtu Anaweza Kuwa Kiongozi Anayefaa?
Siku chache zilizopita kijana wangu anayesoma mwaka wa kwanza kwenye chuo kikuu fulani alirejea nyumbani kwa mapumziko ya majira ya...
May 27, 2024
0
Unaweza Kuwa Mtakatifu?
Kila mtu anajua maisha ya duniani ni mafupi tu na kwamba kifo hakikwepeki. Ukiwa tajiri utakufa na ukiwa maskini utakufa. Hili ni jambo...
Apr 23, 2024
0


Kifo Cha Jenerali Ogola Kina Mkono wa Rais Ruto?
Siku mbili zilizopita Kenya ilipata pigo kubwa baada ya mkuu wa majeshi wa nchi hiyo Jenerali Ogola kufariki dunia. Jenerali huyo...
Apr 19, 2024
0


Tumeanza Kucheza Ngoma ya Kutambulisha Wachawi?
Katika kitabu chake kiitwacho Mashimo ya Mfalme Sulemani mwandishi H. R. Haggard anaeleza mfumo wa utawala ulivyokuwa katika nchi ya...
Apr 12, 2024
0


Utafiti wa Uzalishaji Mbu - Ifakara Institute Yatoa Maelezo
Chuo cha sayansi ya afya Ifakara (Ifakara Institute of Health Science) kimetoa maelezo kuhusu utafiti wa uzalishaji mbu wenye vinasaba...
Apr 10, 2024
0
bottom of page