top of page
Makala za Mwanadikala


Onyo kwa Bunge la JMT
Mauaji ya halaiki ya Rwanda hayakuanza kwa mapanga. Yalianza kwa kauli—mzaha wa kisiasa, dharau kwa wapingaji, na lugha ya kibaguzi. Pale...
Jun 4, 2025


Tukubali, Tusikubali Tuna Bunge la Hovyo Sana!
Tukubali tusikubali, tuna Bunge la hovyo. Hii ni kauli inayozidi kuenea miongoni mwa Watanzania wengi waliokerwa na mwenendo wa Bunge la...
May 27, 2025


UTEKAJI NA USALAMA NCHINI: Uchambuzi wa Kauli ya Mhe. Gwajima na Mapendekezo ya Kuimarisha Ulinzi wa Raia
Tarehe 24 Mei 2025, Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mhe. Askofu Dkt. Josephat Gwajima, alizungumza na waandishi wa habari na kutoa tahadhari...
May 24, 2025


“Heri Mwisho wa Jambo Kuliko Mwanzo Wake”: Uchambuzi wa Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan
“Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake” (Mhubiri 7:8). Maneno haya ya Mhubiri yamebeba uzito mkubwa kwa viongozi – hasa katika kipindi...
May 22, 2025


Maandalizi ya Uchaguzi Kweli, au Hekaheka za Kutafuta Uhalali wa Kutawala?
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025 yanaendelea kwa kasi, lakini hali ya kisiasa inayoambatana na maandalizi hayo...
May 17, 2025


Bunge Lisifanye Mzaha Kwenye Mambo ya Msingi
Bunge ni chombo muhimu katika kuwakilisha wananchi, kutunga sheria, na kusimamia serikali. Hivyo basi, linapaswa kuwa sauti ya ukweli,...
May 11, 2025


Viaticum - Sakramenti ya Mwisho
Ilikuwa jioni tulivu kwenye viwanja vya ikulu ya Kipapa ya Vatican. Jua lililokuwa likizama lilitengeneza vivuli virefu vya rangi ya...
May 2, 2025


CHANZO CHA WANANCHI KUKOSA HAKI KISHERIA: Mfumo wa Utawala Usio na Uwajibikaji (Systemic Failure)
Wiki hii kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu idadi kubwa ya watu wasio na hatia waliotupwa katika magereza mbalimbali nchini. Mahabusu hao...
Apr 29, 2025


Tunajenga Tanzania Mpya Isiyokuwa na Haki: Wapinzani Wateswa Serikali Yafumbia Macho
Katika kile kinachoonekana kuwa mwendelezo wa dhuluma dhidi ya demokrasia, polisi nchini Tanzania wamerudia tena mazoea yao ya kikatili...
Apr 26, 2025


Kifo cha Papa: Umuhimu, Nguvu, na Athari kwa Dunia Maskini
Kifo cha Papa – kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani – ni tukio lililogusa hisia za watu wengi, hata wale ambao si Wakatoliki. Watu...
Apr 26, 2025


Sikio Lisilotahiriwa: Kilio cha Nabii Yeremia na Ukimya wa Vijana wa Kitanzania
Ukisoma Biblia, kitabu cha Yeremia 6:10, utaona nabii huyo akitoa kilio cha uchungu, akisema: “Niseme na nani, na kushuhudia ili...
Apr 23, 2025


Kama Rais Wetu Angekuwa Pilato - Angemsulubisha Yesu?
Watu wengi wanapozungumzia Kifo cha Yesu hukitazama kwa jicho la kiroho tu. Husema Yesu alisulubiwa kwa sababu ya dhambi zetu, kwa maana...
Apr 18, 2025


Tundu Lisu Mhaini!? Hapana! CCM Hebu Jifunzeni Kuchutama…
Uko msemo wa Kiswahili usemao “Ukivuliwa nguo chutama.” Msemo huu unaonesha hekima ya kutenda kwa akili baada ya kudharilishwa....
Apr 11, 2025


Quran Inaeleza Nini Kuhusu Uhusiano wa Wakristo na Waislam?
Dunia ya leo imejaa chuki, husuda fitna na vita. Upendo umepoa, kiburi kimetamalaki na chuki imeota mizizi. Mbaya zaidi ni kuwa dini...
Apr 4, 2025


Umuhimu wa Tanzania Kujiandaa kwa Majanga na Dharura za Kitaifa
Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi za kiuchumi, kijamii, na kiusalama, nchi yoyote inayotaka kuendelea ni lazima iwe na mikakati...
Feb 11, 2025


Mgogoro wa Congo: Funzo Kubwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Mgogoro unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), hasa kati ya serikali na kundi la waasi la M23, umeibua maswali...
Feb 8, 2025


Somo Kuu Kutoka Uchaguzi wa CHADEMA: Haki, Uongozi wa Heshima, na Maadili ya Kisiasa
Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umeacha alama kubwa si tu ndani ya chama hicho, bali pia katika taswira ya siasa...
Jan 22, 2025


CHADEMA Imenasa Kwenye Mtego wa ‘Misinformation’ ?
Katika a ulimwengu wa siasa, idara za usalama na mashirika yenye maslahi binafsi mara nyingi hutumia mbinu mbalimbali kudhoofisha...
Dec 31, 2024


Matumizi ya Viuatilifu Hatari Nchini - Rais Anadanganywa?
Katika jitihada za kuinua kilimo na kukabiliana na changamoto za uzalishaji, Tanzania imeendelea kuruhusu matumizi ya viuatilifu ambavyo...
Dec 27, 2024


Mabadiliko ya Mara kwa Mara ya Mawaziri na Wakuu wa Idara: Yanaongeza Tija au Mzigo?
Jana, tarehe 10 Desemba 2024, Rais wa JMT mheshimiwa Samia Suluhu Hassan aliwaapisha mawaziri wapya aliowateua hivi karibuni kuongoza...
Dec 11, 2024
bottom of page


